USIPITWE NA MAGAZETI YA LEO JULY 31, 2017.
Kwa maoni na ushauri usisite kutuandikia hapo chini, pia usisahau kufuatilia(follow) blog yetu kwa habari zaidi. Asante
NEYMAR KUJIUNGA RASMI NA PSG.
Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Brazil na Club ya Barcelona Neymar,25, amekubali kusaini mkataba wa miaka 5 kujiunga na PSG na ni mategeneo kuwa atakamilisha uhamisho wa £197.
PSG wamekubali kuwapa Barcelona Angel Di Maria, 29 kama sehemu ya mkataba wa kumsajili Neymar kupunguza kodi ya kutengua kifungo cha uhanisho cha mchezaji huyo.
Kama Neymar atafanikiwa kuondoka katika Club hiyo, Barcelona watalazimika kuingia sokoni na kusaka wachezaji mbadala wake, baadhi ya majina ya wachezaji yanapendekezwa kuchukuliwa ni;
1). Philippe Coutinho wa Liverpool,
2). Eden Hazard wa Chelsea na
3). Delle Alli wa Tottenham kuziba nafasi hiyo.

Subscribe to:
Posts (Atom)
H. E SAMIA SULUHU HASSAN
Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...
-
Habari kubwa kwenye vichwa vya magazeti ya Tanzania leo june 28, 2018, tukianza na Udaku , Michezo na Hardnews ...
-
Karibu tena, ni asubuhi nyingine tunakuleta habari mbalimbali za vichwa vya magazeti ya nyumbani Tanzania leo July 04, 2018, tukianza na...