BARCELONA WAHAHA KUTAFUTA MRIDHI WA NEYMAR.
Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Brazil NEYMAR yupo katika hatua za mwaisho kujiunga na Club ya PSG ya Nchini Ufarance kwa kitita cha £198 na kuvunja rekodi ya Duniani kwa mchezaji kuuzwa kwa bei kubwa.
Wakati huo Club ya Barcelona wanahangaika kutafuta mridhi wa mchezaji huyo ili kuziba nafasi take pia kuimarisha safu yao ya ushanbukiaji kwa leongo la kutengeneza MSN mpya.
Yapo baadhi ya majina ya wachezaji wanaopendekezwa kuchukua viatu vya Neymar, majina hayo in;
1. Philippe Coutinho.
Coutinho ndio mchezaji namba moja anayependekezwa na kuwindwa kwa muda mrefu na Club ya Barcelona kuchukua nafadi inayoachwa wazi na Neymar.
2. Angel Di Maria na
3. Antoine Griezmann.

TAMAA ZA WAKALA ZAMPONZA RAMADHAN SINGANO NA KUREJEA NYUMBANI.
Mchezaji wa Club ya Azam FC yupo njiani kurejea nyumbani akitokea nchini Morocco KATIKA Club ya Difaa Hassan Al Jadid inayoshiki ligi kuu ya Nchini Morocco.
Kurejea kwake Nchini kumetokana na kuingiwa tamaa kwa wakala wake alipompeleka kufanya majaribio na kusababisha mchezaji huyo kushindwa kufanya makubaliano na kusaini mkataba wa kuichezea Club huyo ya Nchini Morocco.

NEYMAR, KARIBU PSG KWAHERI BARCELONA.
Nyota wa club ya Barcelona Neymar ameruhusiwa na kocha wa club hiyo kuhangaikia mambo yake ya uhamisho kwenda katika club ya PSG baada ya kufika KATIKA viwancha vya mazoezi.
Uhamisho wa mchezaji huyo kwenda PSG wa £198 ndio utakuwa uhamisho wa bei ya juu kabisa na kuvunja rekodi ya mchezaji mmoja kusajiliwa kwa bei kubwa zaidi duniani awali rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Paul Pogba akitokea Juventus kwenda Manchester United.

Subscribe to:
Posts (Atom)
H. E SAMIA SULUHU HASSAN
Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...
-
Habari kubwa kwenye vichwa vya magazeti ya Tanzania leo june 28, 2018, tukianza na Udaku , Michezo na Hardnews ...
-
Karibu tena, ni asubuhi nyingine tunakuleta habari mbalimbali za vichwa vya magazeti ya nyumbani Tanzania leo July 04, 2018, tukianza na...