MAGAZETI YA LEO JUNE 15, 2018.

Usipitwe na vichwa mbali mbali vya habaei vilivyotamba katika magazeti ya leo, huku bajeti ya Tanzania na michuano ya kombe la Dunia vikitawala katika magazeti hayo.















MAGAZETINI TO DAY JUNE 14, 2018.

Kaa kijanja usipitwe na vichwa mbali mbali vya magazeti ya leo zikiwepo habari za michezo, burudani, udaku na hardnews, zote zinapatikana hapa. Tafadhali kaa nasi kwa vichwa mbali mbali vya magazeti ya kila siku.



















HATIMAYE GOROFA LAZIMWA KARIAKOO.

Jeshi la uokoaji na zima moto limefanikiwa kuuzima moto uliowaka katika gorofa moja la wafanya biashara lililopo maeneo ya kariakoo huku moto huo ukiwa umeteketeza mali zote zilizokuwa ndani na sehemu kubwa ya jengo hilo likiwa limeteketea kwa moto.

Mpaka sasa jeshi hilo la uokoaji bado lipo katika eneo la tukio kumalizia malizia baadhi ya sehemu korofi na kuhakikisha wanauzima kabisa moto huo na kuliacha jengo hilo likiwa halina ashiria zozote za moto au moshi wenye kuleta madhara mengine badae.

GOROFA LATEKETEA KWA MOTO KARIAKOO, DAR ES SALAAM.

Lilikokuwa jengo la biashara jijini Dar es salaam linaendelea kuteketea kwa moto huku wafanyabiashara mbali mbali wakishindwa kuokoa vitu vyao na inasadikika kuwa chini ya gorofa hilo kuna fremu za wafanya biashara.

Jeshi la uokoaji na zimamoto lipo katika eneo la tukio wakihangaika kukabiliana na moto huo japo wanainchi waliokuwa eneo la tukio wamelilalamikia jesho la zima moto na uokoaji kuchelewa kufika eneo la tukio japo wanakabiliwa na wananchi wengi waliojitokeza kuushuhudia moto huo.

UCHAMBUZI WA VIKOSI VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2018.

GROUP A.
Picha ya vikosi na mfumo watakaoutumia kucheza uwanjani na najina ya wachezaji, tukianza na;
1) Russia.

2) Saudi Arabia.

3) Egypt.

4) Uruguay.

KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2018 RUSSIA.

Yamebaki masaa machache fainali za kombe la Dunia kuanza huko Nchini Russia na takribani timu 32 sawa na mataifa 32 yanashiriki mashindano hayo makubwa zaidi Duniani na yenyekuteka hisia za watu mbali mbali wapenda soka Duniani kote.

Hivyo tunakuwa pamoja kuwaletea dondoo mbali mbali za soka kutoka Nchini Russia ambako mashindano hayo yatakuwa yanafanyika.

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...