YANGA BINGWA LIGI KUU TANZANIA BARA KWA MARA YA TATU MFULULIZO.

Ligi kuu Tanzania bara jana ilifikia tamati kwa timu zote kwa kucheza michezo yao ya mwisho, huku Yanga akitwaa tena kombe hilo kwa mara ya tatu na kuandika historia.




TANZANIA KATIKA VICHWA MBALIMBALI VYA HABARI MAY 21.

 Usipitwe na vicha mbalimbali vya magazeti ya kila siku yakiwa na habari kem kem za michezo, bueudani na udaku.
















TRA WAPONZWA NA SERENGETI BOYS.

Waziri wa michezo Harrison Mwakyembe aliwajua jua afisa wa TRA baada ya maadisa hao wa TRA kulisimamisha basi walilokuwa wamepanda vijana wa Serengeti boys waliokuwa wakienda kwenye mwaliko walioalikwa na makamu wa Rais mama Samoa Suluhu Hassani kwa pamoja wakapate chakula cha jioni.

Mwakyembe amesema uamuzi walioutumia watu was TRA haukuwa wa kiungwana baada ya kuwashusha wachezaji kwenye mabasi waliokuwa wamepanda hivyo kuwalazimu maafisa wa TFF kutafuta njia mbadala ya kuwafikisha vijana hao kwa makamu wa Raid.

Hata hivyo waziri Hugo mwenye dhamana ya michezo nchini ameishauri au kuwashauri maafisa wa TRA kutumia njia mbadala za ukusanyaji wa kodi kwani kodi ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taiga kwa ujumla huku akiwasisitiza kuangalia upya utaratibu wanaoutumia pindi wanapoenda kudai kodi hizo.

SERENGETI BOYS KUKWEA PIPA LEO KWENDA MOROCCO.

Timu ya vijana inayoliwakilisha taifa katika michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kwa jina LA Serengeti boys leo majira ya saa 10:15 jioni watakwea pipa hadi nchini Morocco.

Msafara huo unajumuisha jumla wa watu 31 ambao wanaondoka leo kwwma huko kuweka kambi ya mwezi mmoja huku wakijianda na kujifua vikali kabla ya kuelekea Gabon ambako michuano hiyo itafanyika mwezi ujao.

KILICHOJIRI KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA LEO.

Leo katika vichwa mbali mbali vya magazeti ya Tanzania, zikiwemo habari, michezo na burudani. Kwa maelezo zaidi soda 

































kwa maelezo zaidi soma #www.millardayo.com

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...