RUFAA YA BLATTER YAGONGA MWAMBA.

Aliyekuwa rais wa zamani was FIFA Sepp Blatter siku ya Leo ameingia tena kwenye vichwa mbalimbali vya habari hii ni kutokana na rufaa yake aliyoikata katika mahakama ya kimichezo CAS kuoinga hukumu ya kufingiwa miaka sits kutojihusisha na maswala ya Moira kukataliwa.

Hukumu yake ilikuwa ni miaka sits asijihusishe na maswala yeyote ya soka kwa makosa mbakimbali ya kimaadili ikiwemo kufanya malipo yasio ya halali yenye dhamani ya pound million 1.3 kwa rais wa zamani wa UEFA Michael Platini, kiasi ambacho kinadaiwa kumpigia Blatter kampeni hasa kipindi cha uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...