DIAMOND PLATNUM NA ZARI WAPATA MTOTO WAO WA PILI.

Ni Disemba 06, 2016 Diamond Platinum na mzazi mwenzake Zarina Hassan wamepata mtoto wa pili na Diamond kupost katika ukurasa wake wa Instram na kueleza furaha yake hiyo.

Mama Tiffah amefanikiwa kujifungua salama huko nchini Aftika Kusini na kubahatika kupata mtoto wao wa kiume.

RUFAA YA BLATTER YAGONGA MWAMBA.

Aliyekuwa rais wa zamani was FIFA Sepp Blatter siku ya Leo ameingia tena kwenye vichwa mbalimbali vya habari hii ni kutokana na rufaa yake aliyoikata katika mahakama ya kimichezo CAS kuoinga hukumu ya kufingiwa miaka sits kutojihusisha na maswala ya Moira kukataliwa.

Hukumu yake ilikuwa ni miaka sits asijihusishe na maswala yeyote ya soka kwa makosa mbakimbali ya kimaadili ikiwemo kufanya malipo yasio ya halali yenye dhamani ya pound million 1.3 kwa rais wa zamani wa UEFA Michael Platini, kiasi ambacho kinadaiwa kumpigia Blatter kampeni hasa kipindi cha uchaguzi.

HALI SIO SWARI TAZARA.

Shirika la reli linalomilikiwa na nchi mbili baina ya Tanzania na Zambia lipo katika hali mbaya na linaelekea kufilisika hii ni kutokana na wateja wa reli hiyo kupungua.

Sh 651 billion za kitanzania zinahitajika ila kuliepusha shirika hilo la reli lisifilikise na nchi zote mbili zitawajibika katika kuchangia fedha ili kulirudisha tens shirika hilo.

Kuporomoka kumechangiwa na sababu nyingi ikiwemo ubinafsishaji wa mashirika ya uma uliofanyika nchini Zambia, pili wafanyabiashara wakubwa wa madini kuacha kusafirisha bidhaa zao kupitia reli hiyo.

MAGOLI YOTE AFC BOURNERMOUTH V LIVERPOOL

Kweli mpira wa miguu unamaajabu mengi na huwa hautabikiri, sina mengi tafadhali angalia magoli haya Liverpool akifa 4 kwa 3 na kumfanya abaki katika nafasi yake ya tatu katika msimamo wa EPL.

MAGAZETINI LEO DISEMBA 05, 2016.

Tunaanzia hapa kukuletea vichwa mbalimbali vya habari, michezo na udaku vilivyotawala katika magazeti ya leo, kaa nami kwa habari nyingine moto moto.



























MAGOLI YOTE MANCHESTER CITY V CHELSEA

Ulikuwa in mchezo mgumu kwa timu zote mbili lakini Chelsea ndio walioibuka na ushindi wa magoli 3 kwa 1 huku magoli ya Chelsea yakifungwa na Diego Costa, William na Hazard, huku goli la kufutia machozi kwa upande wa Manchester City ni goli la kujifunga la Cahill.

MAGOLI YA EL CLASICO JANA

Kama kuna siku ambayo timu zote ziliwekeana heshima kwa kuwafanya mashabiki wa timu zote mbili kutoka uwanjani wakiwa sawa na sio mmoja kutoka akishangilia huku mwingine akihuzunika basi ni kwa mechi ya Jana.

Japo Barcelona walitangulia kupata goli kupitia kwa Luis Suarez lakini Ramos akamjibu kwa goli la kichwa na kufanya matokeo kusomeka Barcelona 1-1 Real Madrid.

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...