H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia Sukuhu Hassan aliapishwa kwa kuwa Raisi wa awamu ya 6 kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano.

Kuanzia tarehe 18 March mama Samia Suluhu Hassan aliapishwa na kuwa Raisi kamili wa Jamuhuri ya Muungano na aliendelea na majukumu take ya kuunda serikali na bazara lake la Mawaziri.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...