ALEX SANCHEZ KASAINI MKATABA MPYA ARSENAL.

Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Chile Alex Sanchez kasaini mkataba mpya Arsenal na kwa sasa atakuwa analipwa £130,000 kwa wiki na kuwa mchezaji analipwa zaidi ndani ya Club hiyo ya nchini Uingereza.

Mkataba huo mpya utambakiza Sanchez katika Club hiyo ya Arsenal hadi mwaka 2018 mkataba wake utakapokuwa unaisha.

Alex Sanchez aliigarimu Arsenal £35 million mwaka 2014 akitokea katika club ya Barcelona ya Nchini Hispania na kuwa mchezaji muhimu sana katika club hiyo tangu kuwasili kwake katika miamba hiyo ya nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...