Club ya nchini Ufarance PSG wameonesha nia ya dhati ya kutaka kumsajiki mchezaji Neymar kutoka katika Club ya Barcelona, matajiri hao wa nchini Ufarance wametoa dau la £195 kama ofa kwa Barcelona na kufikia kiasi ambacho Barcelona walikubaliana na Neymar katika mkataba wake kama itatokea Club yeyote kumuhitaji. Dau hilo la PSG ndiolitavunja rekodi ya Dunia kwa mchezaji kuuzwa kwa bei kubwa ila si kuvunja rekodi tu, bali kulizidi dau hilo la rekodi mara mbili.
Hivyo Club ya Barcelona inalazimika kutafuta mbadala wa Neymar kama ataondoka kwenda Ufarance kunako Club ya PSG. Barcelona wanalazimika kutafuta mbadala wa Neymar na yafuatayo ndio majina ya wachezaji waliopendekezwa kuchukua nafasi ya Neymar;
1. Philippe Coutinho (Liverpool)
2. Paulo Dybala (Juventus)
3. Ousmane Dembele (BVB)
4. Kylian Mbappe (AS Monaco)
5. Alex Sanchez (Arsenal)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
H. E SAMIA SULUHU HASSAN
Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...
-
Habari kubwa kwenye vichwa vya magazeti ya Tanzania leo june 28, 2018, tukianza na Udaku , Michezo na Hardnews ...
-
Karibu tena, ni asubuhi nyingine tunakuleta habari mbalimbali za vichwa vya magazeti ya nyumbani Tanzania leo July 04, 2018, tukianza na...
No comments:
Post a Comment