KWA YANGA HII ITATISHA.

Yanga SC imeingia makubaliano na kocha Mzambia, George Lwandamina huku uongozi wa timu hiyo ukimbakiza kocha Hans Van der Pluijm raia wa Holland na kupewa majukumu mapya kama mkurugenzi wa ufundi ndani ya club hiyo.

Hans Pluijm ameweka historian yaje ndani ya kikosi hicho cha jangwa kwa kuwawezesha kwa Mara ya kwanza kufika katika hatua ya makundi ya michuano ya Caf Confederation Cup 2016.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...