WAZIRI WA ELIMU NDALICHAKO ALIA NA MAJOHO.

Waziri wa elimu Prof. Joyce Ndalichako amesema kila anayehitimu hata kama in chekechea anavaa joho, hivyo amesena yeye anafikiria majoho yangekuwa yanafakiwa na wahitimu wanaomaliza digrii ndio wawe wanavaa majoho ili kuwahamasisha wanaomaliza huku chini kutamani na wao kuvaa majoho.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...