Radio Free Africa katika kipindi chake cha michezo asubuhi kilitangaza kifo cha ghafla cha bondia Thomas Mashali. Thomas ni bondia aliyeleta changamoto kwenye gemu na kuifanya tasnia ya ngumi nchi ichangamke. Chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa kimesababishwa na kipigo cha wananchi hapo maeneo ya kumara.
UBUNGE WAMTOA JASHO....
Kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 sio mchezo mchezo zilimuacha Kingwendu na madeni, ndiyo amemaliza kuyalipa madeni yake hivi karibuni ila wananchi wamemuahidi kutokumuangusha tena 2029.
MSICHANA AONGOZA MATOKEO DARASA LA SABA
Huyu ndie Justina Gerald washule ya msingi Tusiime ya jijini Dar es salaam, ambaye ni mwanafunzi aliyeongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba 2016 kwa upande wa wasichana.
KINGWENDU APATWA NA MSIBA.
Muigizaji na mkongwe wa vichekesho Nchi Kingwendu wa jijini Dar jana alifiwa na mama yake mzazi.
Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia.
Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia.
MR.BENSON WA SIRI ZA FAMILIA AFARIKI DUNIA.
Aliyekuwa muigizaji was tamthilia ya siri za familia inayorushwa na kituo cha televisheni cha EATV ndugu Haji Jumbe almaarufu kama Mr.Benson afariki Dunia na mwili wake kuzikwa Leo huko mkoani Pwani.
Subscribe to:
Posts (Atom)
H. E SAMIA SULUHU HASSAN
Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...
-
Habari kubwa kwenye vichwa vya magazeti ya Tanzania leo june 28, 2018, tukianza na Udaku , Michezo na Hardnews ...
-
Nyegere ni mnyama asiyeogopa chochote mile kwani anauwezo wa kuwakabili wanyama wakali na wakubwa kama simba au chui na wasimdhuru, ni mmoja...
-
Karibu tena, ni asubuhi nyingine tunakuleta habari mbalimbali za vichwa vya magazeti ya nyumbani Tanzania leo July 04, 2018, tukianza na...