BARCELONA WAHAHA KUTAFUTA MRIDHI WA NEYMAR.

Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Brazil NEYMAR yupo katika hatua za mwaisho kujiunga na Club ya PSG ya Nchini Ufarance kwa kitita cha £198 na kuvunja rekodi ya Duniani kwa mchezaji kuuzwa kwa bei kubwa.

Wakati huo Club ya Barcelona wanahangaika kutafuta mridhi wa mchezaji huyo ili kuziba nafasi take pia kuimarisha safu yao ya ushanbukiaji kwa leongo la kutengeneza MSN mpya.

Yapo baadhi ya majina ya wachezaji wanaopendekezwa kuchukua viatu vya Neymar, majina hayo in;
1. Philippe Coutinho.
    Coutinho ndio mchezaji namba moja anayependekezwa na kuwindwa kwa muda mrefu na Club ya Barcelona kuchukua nafadi inayoachwa wazi na Neymar.
2. Angel Di Maria na
3. Antoine Griezmann.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...