NEYMAR, KARIBU PSG KWAHERI BARCELONA.

Nyota wa club ya Barcelona Neymar ameruhusiwa na kocha wa club hiyo kuhangaikia mambo yake ya uhamisho kwenda katika club ya PSG baada ya kufika KATIKA viwancha vya mazoezi.

Uhamisho wa mchezaji huyo kwenda PSG wa £198 ndio utakuwa uhamisho wa bei ya juu kabisa na kuvunja rekodi ya mchezaji mmoja kusajiliwa kwa bei kubwa zaidi duniani awali rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Paul Pogba akitokea Juventus kwenda Manchester United.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...