GOROFA LATEKETEA KWA MOTO KARIAKOO, DAR ES SALAAM.

Lilikokuwa jengo la biashara jijini Dar es salaam linaendelea kuteketea kwa moto huku wafanyabiashara mbali mbali wakishindwa kuokoa vitu vyao na inasadikika kuwa chini ya gorofa hilo kuna fremu za wafanya biashara.

Jeshi la uokoaji na zimamoto lipo katika eneo la tukio wakihangaika kukabiliana na moto huo japo wanainchi waliokuwa eneo la tukio wamelilalamikia jesho la zima moto na uokoaji kuchelewa kufika eneo la tukio japo wanakabiliwa na wananchi wengi waliojitokeza kuushuhudia moto huo.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...