HATIMAYE GOROFA LAZIMWA KARIAKOO.

Jeshi la uokoaji na zima moto limefanikiwa kuuzima moto uliowaka katika gorofa moja la wafanya biashara lililopo maeneo ya kariakoo huku moto huo ukiwa umeteketeza mali zote zilizokuwa ndani na sehemu kubwa ya jengo hilo likiwa limeteketea kwa moto.

Mpaka sasa jeshi hilo la uokoaji bado lipo katika eneo la tukio kumalizia malizia baadhi ya sehemu korofi na kuhakikisha wanauzima kabisa moto huo na kuliacha jengo hilo likiwa halina ashiria zozote za moto au moshi wenye kuleta madhara mengine badae.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...