KOCHA MSAIDIZI WA AZAM FC IDD CHECHE AKUBALI YAISHE.

Azam Fc wakubali yaishe, kocha msaidizi wa Azam Idd Cheche amekiri kuwa timu yao inanafasi ndogo kushinda ubingwa wa Vodacom premium league baada ya kukubali kipigo cha bao moja kutoka kwa wapinzani wao Yanga SC.

Kocha huyo msaidizi wa Azam amesema kwa upande wao wananafasi ndogo sana kushinda kombe na hivyo wameelekeza nguvu zao nyingi katika Lusaka heshima kwa kupata nafasi mzuri za juu katika msimamo wa ligi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...