SERENGETI BOYS KUKWEA PIPA LEO KWENDA MOROCCO.

Timu ya vijana inayoliwakilisha taifa katika michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kwa jina LA Serengeti boys leo majira ya saa 10:15 jioni watakwea pipa hadi nchini Morocco.

Msafara huo unajumuisha jumla wa watu 31 ambao wanaondoka leo kwwma huko kuweka kambi ya mwezi mmoja huku wakijianda na kujifua vikali kabla ya kuelekea Gabon ambako michuano hiyo itafanyika mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...