TRA WAPONZWA NA SERENGETI BOYS.

Waziri wa michezo Harrison Mwakyembe aliwajua jua afisa wa TRA baada ya maadisa hao wa TRA kulisimamisha basi walilokuwa wamepanda vijana wa Serengeti boys waliokuwa wakienda kwenye mwaliko walioalikwa na makamu wa Rais mama Samoa Suluhu Hassani kwa pamoja wakapate chakula cha jioni.

Mwakyembe amesema uamuzi walioutumia watu was TRA haukuwa wa kiungwana baada ya kuwashusha wachezaji kwenye mabasi waliokuwa wamepanda hivyo kuwalazimu maafisa wa TFF kutafuta njia mbadala ya kuwafikisha vijana hao kwa makamu wa Raid.

Hata hivyo waziri Hugo mwenye dhamana ya michezo nchini ameishauri au kuwashauri maafisa wa TRA kutumia njia mbadala za ukusanyaji wa kodi kwani kodi ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taiga kwa ujumla huku akiwasisitiza kuangalia upya utaratibu wanaoutumia pindi wanapoenda kudai kodi hizo.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...