SAMATTA KATUPIA MBILI KAMBANI.

Mshambuliaji tegemeo wa Tanzania na club ya KRC Gent Mbwana Samatta baada ya kuisaidia Taiga Stars kuifunga Botswana kwa bao mbili katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu hatimaye anarejea katika club yake ya Genk na kuisaidia kupata ushindi mnono wa mabao 4.

Samatta alifunga magoli mawili katika mchezo huo wa ligi na kuisaidia timu take kupata point tatu muhimu na kuongoza kundi B kwa tofauti ya magoli huku wakilingana kwa point na club ya Kortrijk.

Michezo hiyo ya play of ya ligi kuu ya nchini Ubelgiji imemfanya mchezaji Mbwana Samatta kungara katika michuano hiyo na kumuwezesha mcjezaji huyo kuifunhia club yake magoli mawili na kuipa point za kuongoza kundi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...