BARCELONA VS REAL MADRID

El Clasico ni mchezo unazozikutanisha klabu kubwa zaidi katika bara la Ulaya na time mbili maarifu sana katika nchi ya Hispania,  wikiendi hii tutashuhudia El Clasico pale ambapo Barcelona atakuwa mwenyeji kwa kuikaribisha Real Madrid katika uwanja wa No camp.

Real Madrid ikiongozwa na kocha Zinedine Zidane huku kukiwa hakuna mabadiliko katika kikosi chake na Barcelona inayoongozwa na kocha Luis Enrique naye pia akiwa hana mabadiliko makubwa katika kikosi chake.

Huu ni mchezo unaosubiriwa na mashabiki wa soka dunia nzima kwa umetokea kuteka hisia za wanasoka mbalimbali na hata mashaki pia.

Kikosi cha Barcelona kitakuwa na:-
Marc-Adre Tee Stegen
Gerald Pique
Javier Mascherano
Jordi Alba
Sergi Roberto
Ivan Rakitic
Sergio Busquets
Denis Suarez
Luis Suarez
Lionel Messi na
Neymar.

Huku kwa upande wa Real Madrid kuna:-
Keylar Navas
Daniel Carvajal
Sergio Ramos
Raphael Varane
Marcelo
Cristiano Ronaldo
Mateo Kovacic
Lucas Vazquez
Luka Modric
Isco na
Karin Benzema.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...