TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA NANI KUWA MSHINDI.

Tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ni tuzo inayotolewa Mara moja kwa mwana ili kujua ni mchezaji gani bora zaidi kwa mwana husika.

Kwa tuzo ya mwaka huu ya metokea majina matatu
Messi,
C. Rinaldo na
Greizmann.
Hao ndio wachezaji watakaowania tuzo hizo kwa mwaka huu.

Jina la Messi limekuwa likijitokeza Mara kwa Mara katika kumtafuta mchezaji bora wa Dunia licha ya sasa Messi kutokuwa katika mile kiwango chake kilichozoeleka.

Swali ni je, nani kuibuka mshindi wa tuzo hiyo?

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...