EL CLASICO SIO YA KUKOSA.

Katika mechi ambazo mashabiki wa soka kote duniani wanakuwa wakiisubiria kwa hamu kubwa ni mchezo kati ya Barcelona na Real Madrid maarufu kwa jina la El Clasico.

Wikiend hii mashabiki watashuhudia El Clasico pale miamba miwili ya nchini Hispania itakapokutana, Real Madrid ipo katika kiwango kuzuri zaidi baada ya mechi ya mwisho kabla ya kukutana na Barcelona wakipata ushindi wa mabao 6 kwa moja, huku Barcelona wakilazimisha sare ya kufungana bao moja kwa moja dhidi ya Herculas.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...