WELBECK AMEREJEA UWANJANI.

Baada ya miezi 7 ya kukaa nje ya kikosi kutokana na kupata maumivu ya kifundo cha mguu, hatimaye Welbeck ameanza kufanya mazoezi na kukimbia uwanjani.

Striker huyu wa England na club ya Arsenal alipata tatizo msimu uliopita mwezi wa tank kwenye mechi dhidi ya Manchester city na mechi kuisha kwa suluhu.

Bado ni mapema kusema lini Welbeck atarejea kwenye kikosi cha kwanza cha Arsenal lakini inatarajiwa mpaka kufikia mwanzoni mwa mwaka 2017 anaweza kurudi uwanjani akiwa amepona kabisa.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...