MANCHESTER KUVUNJA KIBUBU KUMSAJILI NEYMAR

Report ya daily Record iliripoti kuwa mocha wa Manchester united amemkodolea macho mchezaji wa Barcelona Neymar ambaye anaonekana anataka sana kutoka nje ya Hispania kwa sasa.

Vilabu mbalimbali vya nchini England vimepewa taarifa kuhusu matakwa ya Neymar licha ya kuwa na mkataba na Barcelona. Mourihno anajua kwamba atahitaji kuongeza juhudi na umakali kwenye safu ya ushambuliaji klabuni halo ili kupata magoli mengi zaidi.

Itawalazimu Manchester kulipa zaidi ya paund 180 million ili kuweza kumuhamisha Neymar kwena Manchester.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...