MANCHESTER CITY VS CHELSEA

Patakuwa na mshike mshike katika ligi kuu ya nchini England viwanya kadhaa kuwaka moto lakini naomba tuangalie zaidi mchezo kati ya Manchester City watakapo ikaribisha Chelsea katika uwanja wao wa Etihad stadium.

Kwa upande wa Chelsea ambayo inaongozwa na Antonio Conte watataka kushinda huu mchezo ili kujiweka mahali pazuri zaidi katika kipindi hiki cha Christmas kwa kuendelea kuongoza ligi hiyo, huku Joseph Guardiola na Manchester City wakiwa katika hali ya kutaka kuwafikia Chelsea kwa point na pia kujihakikishia ushindi.

Vikosi vya timu zote mbili hazina mabadiliko,  kwa upande wa Manchester City.
Claudio Bravo
Pablo Zabaleta
Aleksandar Kolarov
John Stones
Nicolas Ostamendi
Raheem Sterling
Ilkay Guendogan
David Silva
Fernandinho na
Sergio Aguero.

Kwa upande wa Chelsea in..
Thibant Courtois
Gary Cahill
David Luiz
Marcos Alonso
N'golo Kante
Victor Moses
Nemanja Matic
Eden Hazard
Pendo Rodriguez na
Diego Costa.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...