HALI SIO SWARI TAZARA.

Shirika la reli linalomilikiwa na nchi mbili baina ya Tanzania na Zambia lipo katika hali mbaya na linaelekea kufilisika hii ni kutokana na wateja wa reli hiyo kupungua.

Sh 651 billion za kitanzania zinahitajika ila kuliepusha shirika hilo la reli lisifilikise na nchi zote mbili zitawajibika katika kuchangia fedha ili kulirudisha tens shirika hilo.

Kuporomoka kumechangiwa na sababu nyingi ikiwemo ubinafsishaji wa mashirika ya uma uliofanyika nchini Zambia, pili wafanyabiashara wakubwa wa madini kuacha kusafirisha bidhaa zao kupitia reli hiyo.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...