MAYWEATHER KURUDI ULINGONI.

Floyd alistaafu kucheza ngumi akiwa na rekodi ya kushinda mapambano 49. Mashabiki wa bondia huyo wameona kuna hitaji la kumrudisha tena Floyd ulingoni hi I no kutokana na mapenzi waliokuwa nayo kwa mchezaji huyo.  Kurudi kwake uwanjani kutahusishwa na pambano la ubingwa wa UFC Donor McGregor ambae amepata umaarufu mkubwa sana.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...