ADHABU YA VIBOKO KURUDISHWA TENA?

Serikali ya kijiji cha Sanya Hoye mkoani Kilimanjaro imetangaza adhabu ya kuchapwa viboko 15 na kulipa faini ya Tsh 50,000 kwa mtu yeyote atakayekutwa bar usiku akiwa na mtoto wa umri chini ya miaka 18. Swali, mnaafikiana na hilo?

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...