MANCHESTER UNITED VS ARSENAL SIO YA KUKOSA.

Nani kuibuka kidedea mechi ya leo? Zinakutana timu kubwa na kila moja ikitaka kulinda heshima take huzi kwa upande wa pili wa shilingi mmoja akitaka kuvunja rekodi au uteja.

Makocha wawili maarufu na wakubwa na wenye heshima katika EPL leo wanakutana tena, huku mara yao ya mwisho kukutama kocha wa United Jose alikuwa Chelsea, leo wanakutana tena akiwa katika Club ya Manchester, huku kila upande ukikabiliwa au kusumbuliwa na majehaha lakini kwa upande wa Manchester watamkosa Zlatan kutokana na kufungiwa mchezo mmoja.

Je, unafikiri na leo wanaweza kushikana mashati? Tutapata jibu ndani ya dakika 90.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...