KIDATO CHA PILI WAANZA MITIHANI YA LEO.

Kitado cha pili wameanza mitihani yao leo ya kumaliza kitado hicho na kuendelea kidato cha tatu lakini wakikabiliwa na wastani ambao ili uweze kuendelea mbele ni lazima uwe umetimiza wastani huo.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...