SERIKALI KUPUNGUZA KODI YA ONGEZEKO LA DHAMANI (VAT).

Serikali imesena inaangalia uwezekano wa kupunguza kodi ya ongezeko la dhamani (VAT) ambayo kwa sasa ni 18% ili kulingana na kiwango ambacho wanatoza majirani zetu Kenya na Ethiopia.

Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji (TIC) Bw. Clifford Tandari amesema hayo katika mkutano baina ya serikali na wawekezaji kutoka nchini Ubelgiji, ambao wapo nchini kuangalia fursa ya uwekezaji katika sekta ya kilimo na usafirishaji.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...