DAU LA JESSY LASHUKA

Viongizi hao wanefanya hivyo kwa dhana juu ya Shirikisho la Kimataifa la  Moira wa miguu (FIFA) inayosisitiza uungwana katika soka ikisema: "my game is fair play"

Kwa hali halisi ya uchumi kwa sasa, timu hizo zimezungumza had I kufikia mwafaka wa kiwango kisichozidi sh milioni 200 kutoka $ 600,000 (zaidi ya sh milioni 1,200 au bilioni 1.2).

Mazungumzo ya wikiendi hii yanakwenda kukamilisha mvutano wao, kama ambavyo walikubaliana kwenye kikao kilichoketi Jana November 03, 2016.

Madai makuu ya simba no dhidi ya mchezaji Hassan Jessy na dhidi ya club ya Young Africans kudaiwa kuvunja mkataba na kuingilia makubaliano mapya wakati tayari mchezaji alijuwa na mkataba na club hiyo yenye maskani yake mtaa wa msimbazi, kariakoo jijini Dar es salaam.

Upande wa Young Africans, uliwakilishwa na kaimu katibu mkuu, Baraka Deysdedit wakati kwa upande wa Simba alikuwa, Mwenyekiti wa kamati ya usajili, Zacharias Hans Poppe.

Katika kikao hicho ambacho Msuluhishi wake ni wakili Said El-Maamry hakuhudhuria kwa sababu za udhuru, Baraka wa  Young Africans aliongozana na mjumbe wa kamati ya utendaji was Young Africans, Omar Said pamoja na Mawakili Osca Magolosa na Alex Mushumbusi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...