ROBERT LEWANDOWSKI AZIMIA UWANJANI.

Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski ilibidi apatiwe matibabu baada ya kupigwa na fataki lililotupwa na mashabiki wake wa nyumbani na kulipuka karibu take wakati was mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza fainali za kombe la Dunia dhidi ya Romania.

Mchezaji huyo wa Bayern Munich hakupata majeraha yeyote ila alipatwa na mshutuko kutokana na tukio hilo lililofanyika mapema kipindi cha pili na kulazimisha mchezi huo kusimana kwa dakika kadhaa.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...