NATO YATOA NENO KWA TRUMP.

Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltennburg amemuonya Rais mteule wa Marekani Donald Trump dhidi ya kufanya maamuzi ya kipekee, akisema kuwa sio chaguo la muungano wa Ulaya ama hata Marekani.

Amesema kuwa mataifa ya magharibi yalikabiliwa na changamoto take kuu ya kiusalama.

Wakati wa kampeni zwke za uchaguzi bwana Trump aliutaja muungano huo wa kijeshi wa mataifa ya magharibi kama uliopitwa na wakati.

Alisema kuwa Marekani itafikiri Mara mbili kumsaidia mwanachama yeyote wa muungano huo ambaye ameshambuliwa iwapi hajalipa kodi yake ya uwanachama.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...