SABABU YA KATIBA KUTOKUZUNGUMZIWA KIPINDI CHA UCHAGUZI.

Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 rais Dkt John Magufuli hakuzungumzia swala zima la katiba ya nchi. Leo katika mahojiano na waandishi wa habari anasema wamuache kwanza ainyooshe nchi!

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...