JPM SERIKALI HAIJASITISHA AJIRA.

Rais Jonh Magufuli amesema serikali haijasitisha ajira, zilipisha zoezi la watumishi hewa kwa miezi miwili pekee na watu zaidi ya 5000 wameshaajiriwa.

Aidha amesema kwenye kampeni hakuongelea katiba hivyo aachwe kwanza anyooshe nchi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...