DIAMOND PLATNUM APATA TUZO 3.

Msanii maarufu na aliyeteka soko la  musiki wa kizazi kipya (bongo flava) Diamond platnum ameshinda tuzo 3 huko Lagos, Nigeria.

Kibao chake kinachotamba kwa jina " Je utanioenda" kimemuwakilisha vyema huko kwa kumpa tuzo ya wimbo
bora wa mwaka.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...