UCHAGUZI MAREKANI

Hatina uchaguzi mkuu mchini Marekani umekamilika na mgombea urais kupitia cha Republican Donald John Trump kuibuka kidedea mbele ya mpinzani wake Hillary Clinton na kuwa rais wa 45 kuiongoza nchi hiyo kubwa zaidi kiuchumi duniani.

Donald John Trump (DJT) anafananishwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli (JPM) maana hana mchezo akiongea kitu ni lazima kitimie.

1 comment:

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...