ENGLAND NA SCOTLAND ZAPIGWA STOP.

Fifa imezipiga marufuku England na Scotland kuvaa nembo ambazo ni kumbukumbu kwa wanajeshi waliopigana vita mbalimbali. Fifa inasema jambo hilo ni kuhusisha siasa katika michezo, na kwa kuwa kila nchi ina mashujaa wake pia. Je upi ni mtazano wako katika hili?

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...