ANTOINE GRIEZMANN NJIA NYEUPE MANCHESTER UNITED.

Ni usajili ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa sana pale mchezaji Antoine Griezmann atakapohamia katika jiji la Manchester kukipiga katika Club ya Manchester united japo kocha wake wa sasa amesema mchezaji huyo hana mpango wa kuihama club hiyo.

Lakini mawakala wa Manchester wanaendelea kuishawishi familia ya mwanasoka huyo kuona namna ya kupata huduma ya nyota huyo.
Griezmann hana wakala wa kusimamia mambo yake ya kisoka lakini anapata ushauri kutoka katika familia yake kuhusiana na maisha yake ya mpira.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...