KIVUMBI NA JASHO LIGI YA UINGEREZA LEO.

Usikose mechi za leo katika ligi ya England (EPL) wanaume watakuwa uwanjani kupepeta na kuoneshana ubabe katika kugombea nafasi NNE za juu.

Wakati wengine wanagombea nafasi NNE za kuwa wengine watakuwa katika kibarua kigumu cha kujisasua kutokavkule mkiani na watakuwa wanatafuta nafasi ya kusalia katika ligi hiyo.

Michezo ya leo ni kama ifuatavyo;-

Manchester united vs Arsenal

Crystal palace vs Manchester city

Everton vs Swansea city

Southampton vs Liverpool

Stock city vs AFC Bournemouth

Sunderland vs Hull city

Watfod vs Leicester city

Tottenham vs West Ham united

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...