MAAHARI KUZIKWA LEO.

Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini marehemu Thomas Mashali unatarajiwa kuangwa Leo katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam, kisha kuzikwa katika makaburi ya kinondoni alisema baba mzazi wa marehemu mzee Christopher Mashali.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...