USAIN BOLT KUSTAAFU RIADHA.

Katika mazungumzo yaliyofanywa na BBC, Usain Bolt ameendelea kusisitiza kuwa mashindano ya Dunia yatakayofanyika mwaka kesho London ndio yatakuwa mashindano yake ya mwisho. Wiki hii iliripotiwa kuwa mfukuza upepo huyo atajiunga na club ya Borussia Dortmund ya nchini Ujerumani.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...