UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI KUFANYIKA LEO.

Uchaguzi mkuu nchini Marekani inatarajiwa kufanyika siku ya leo kumchagua Rais atakayeiongoza nchi hiyo.

Kunawagombe wawili wanaokiwania kiti cha urais wa nchi hiyo kubwa zaidi kiuchumi na ambayo dolla yake imekuwa muhimili mkubwa wa biashara kote duniani.

Je, in Hillary Clinton au Donald Trump?

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...