MAELFU WAANDAMANA KOREA KUSINI.

Ni wikiendi ya tatu sasa mfululizo wananchi wa Korea Kusini walijawa na ghadhabu wameamua kumiminika katika barabara za mji mkuu wa Seoul kumtaka rais wa taifa hilo Park Guen Hye kujiuzulu.

Maandamano hayo ya leo yanatarajiwa kuwa makubwa zaidi. Viongozi wa maandamano hayo  wamesema mamilioni ya watu watashiriki.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...