MESUT OZIL KUSAINI MKATABA MPYA.

Huwezi kupoteza habari ya Mesut Ozil kuhusu mkataba wake na club ya Arsenal. Kitu hiki kilikaa kwanye vichwa mbalimbali vya vyombo vya habari za michezo. Ozil kama alivyotegemezi katika kikosi cha Arsenal, anategemewa asaini mkataba mpya kabla ya alionao kuisha.

Mkataba wake wa sasa unaishia nwaka 2018 na jinsi club nyingi zinavyopenda kumpata mchezaji huyo lazima amwage wino mapema. Sasa hivi imeripotiwa kipindi hiki cha mechi za kimataifa, wawakilishi wa Ozil walikutana na Arsenal na makubakiano yamefanyika kusaini mkataba mpya.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...