MSUVA MCEZAJI BORA OKTOBA.

Msuva alikuwa na washindani wa karibu wawili katika kinyang'anyiro hicho cha oktoba ambao wote ni kutoka Simba.  Wachezaji hao ni Shiza Kichuya na Mzamiru Yassin

Katika mwezi oktoba ambao ulijuwa na raundi sita, Msuva aliisaidia timu yake kupata jumla ya point 14 huku akifunga mabao manne na kutoa pasi tano za mwisho.

Kwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi, Msuva ambaye alikuwa mchezaji bora wa ligi hiyo msimu wa 2014/15 atazawadiwa kitita cha sh. Milioni moja kutoka kwa wadhamini wa ligi hiyo kampuni ya vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...