HILLARY CLINTON AWALILIA FBI.

Aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic Hillary Clinton, amesema kwamba kushindwa kwake ghafla katika uchaguzi uliopita, kulichangiwa pa kubwa na hatua ya mkurugenzi wa shirika la kijeshi la Marekani (FBI), James Comedy kutangaza uchunguzi mpya wa sakata la barua pepe dhidi yake muda mfupi babla ya uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...