SEBASTIAN ABREU AVUNJA REKODI YA DUNIA.

Mchezaji Sebastian Abreu amevunja rekodi ya Dunia kwa kujiunga na club yake ya 23. Baada ya kujiunga na club ya Brazil "Bangu" ambapo amefikia uhamisho wa mara ya 28 ambao umefanyika ndani ya nchi 9.

Hivi sasa Abreu ana miaka 40, amecheza kwa miaka 22 na kote amecheza michezo 251. Club kubwa aliyowahi kuichechezea ni Deportivo La Coruna.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...